12 Januari

Tarehe 12 Januari ni siku ya kumi na mbili ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 353 (354 katika miaka mirefu).

27 Juni

Tarehe 27 Juni ni siku ya 178 ya mwaka (ya 179 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 187.

Bagamoyo

Bagamoyo ni jina la

Kamusi elezo

Kamusi elezo (pia: ensiklopedia) ni kitabu kinachojaribu kukusanya ujuzi wote wa binadamu.

Kisarawe

Kisarawe inaweza kutaja maana hizi:

Mbaraka Mwinshehe

Mbaraka Mwinshehe Mwaruka (27 Juni 1944 - 12 Januari 1979) alikuwa mwanamuziki maarufu wa muziki wa dansi kutoka nchini Tanzania.

Morogoro

Morogoro ni jina la>

Muziki wa dansi

Muziki wa dansi (au dansi tu) ni muziki kutoka nchini Tanzania. Ulianzishwa katika mji wa Dar es Salaam kunako miaka ya 1930, na unapendeka leo hadi leo hii.

Mzenga

Mzenga ni kata ya Wilaya ya Kisarawe katika Mkoa wa Pwani, Tanzania yenye postikodi namba 61405 . Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 5,458 walioishi humo.

Tanzania

Tanzania ni nchi iliyoko Afrika ya Mashariki.

Wikipedia

Wikipedia ni kamusi elezo huru ya lugha nyingi katika mtandao wa wavuti. Inalenga kukusanya elimu nyingi iwezekanavyo na kuisambaza kwa njia ya intaneti.

Read in another language