Wikipedia ya Kiserbia

Wikipedia ya Kiserbia (Kiserbia: Википедија на српском језику/Vikipedija na srpskom jeziku) ni toleo la kamusi elezo la Wikipedia kwa lugha ya Kiserbia. Ilianzishwa mnamo tar. 16 Februari 2003. Toleo hili, kwa tar. 5 Januari ya mwaka wa 2009, imefikisha zaidi ya makala ya 75,000.[1]

Favicon of Wikipedia Wikipedia ya Kiserbia
Wikipedia-logo-v2-sr

Marejeo

  1. List of Wikipedias

Viungo vya nje

Wikipedia
Wikipedia ya Kiserbia ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru
Nuvola apps bookcase.svg Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wikipedia ya Kiserbia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikipedia ya Kiswahili

Wikipedia ya Kiswahili (au Wikipedia kwa Kiswahili) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiswahili.

Wikipedia kwa Kiswahili ilianzishwa mnamo tarehe 8 Machi 2003, na tarehe 16 Oktoba, 2019, imefikia makala zipatazo 54,198 na kuifanya iwe Wikipedia ya 88 (kati ya 294 zilizo hai) kwa hesabu ya makala zote.Kwa hesabu ya makala zenye zaidi ya herufi 200 (yaani bila makala fupi mno) mwaka 2014 ilifikia nafasi ya 71. Wikipedia ya Kiswahili ilikuwa inafunguliwa na 0,01% ya wanaofungua Wikipedia duniani kote kwenye Septemba 2018, ikiwa katika nafasi ya 65 kati ya lugha zote. Walioivinjari mwezi Septemba 2018 walikuwa katika nchi zifuatazo: Marekani 37.1 %, Tanzania 32 % na Kenya 14.6 %

(mwaka 2017 ugawaji huu ulikuwa Tanzania 48.5%, Marekani 18.6%, Kenya 14.4%, Ireland 5.1%, Ujerumani 4.9%, kwingineko 8.5%; lakini namba hizi zinacheza kirahisi kama kwa sababu fulani, labda habari zinazotangazwa kwenye media, watu wengu wanatafuta habari kwenye intaneti maana Marekani ni rahisi kwa Waswahili walioko pale wasio wengi sana, lakini wana urahisi kutumia intaneti, wanaweza kuzidi watumiaji wa Tanzania ambako watu wengi bado hawana njia ya kutumia mtandao)Mwezi huohuo, waliofungua Wikipedia nchini Kenya walikuwa 0,10% za wasomaji wote duniani; kati yao waliofungua Wikipedia ya Kiswahili walikuwa 1%. Kumbe nchini Tanzania waliofungua Wikipedia walikuwa 0,04% za wasomaji wote duniani, lakini kati yao 8.6% waliifungua kwa Kiswahili.

Kumbe mnamo Septemba 2018, Wikipedia ya Kiswahili imekuwa inafunguliwa na 0,01% ya wanaofungua Wikipedia duniani kote, ikiwa na nafasi ya 65 kati ya lugha zote. Walioivinjari mwezi huo walikuwa katika nchi zifuatazo: Marekani 37.2 %, Tanzania 32%, Kenya 14.6%, China 5.4%, Ufaransa 3%, kwingineko 7.8%.

Mwezi huohuo, waliofungua Wikipedia nchini Kenya walikuwa 0,08% za wasomaji wote duniani; kati yao waliofungua Wikipedia ya Kiswahili walikuwa 1.7%. Kumbe nchini Tanzania waliofungua Wikipedia walikuwa 0,03% za wasomaji wote duniani, lakini kati yao 11.2% waliifungua kwa Kiswahili, asilimia inayozidi kukua kadiri makala zinavyoongezeka na kuwa bora zaidi.

Matoleo ya Wikipedia kwa lugha tofauti na wingi wa makala
5,000,000+
1,000,000+
500,000+
200,000+
100,000+
50,000+
10,000+
1,000+

Lugha zingine

This page is based on a Wikipedia article written by authors (here).
Text is available under the CC BY-SA 3.0 license; additional terms may apply.
Images, videos and audio are available under their respective licenses.