Karne ya 3 KK

Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka

| Milenia ya 2 KK | Milenia ya 1 KK | Milenia ya 1 |
| Karne ya 5 KK | Karne ya 4 KK | Karne ya 3 KK | Karne ya 2 KK | Karne ya 1 KK |
Miaka ya 290 KK | Miaka ya 280 KK | Miaka ya 270 KK | Miaka ya 260 KK | Miaka ya 250 KK | Miaka ya 240 KK | Miaka ya 230 KK | Miaka ya 220 KK | Miaka ya 210 KK | Miaka ya 200 KK

Wakati wa karne ya 3 KK

Karne: | Karne ya 4 KK  | Karne ya 3 KK | Karne ya 2 KK
Miongo na miaka
Miaka ya 290 KK | 290 KK 291 KK 292 KK 293 KK 294 KK 295 KK 296 KK 297 KK 298 KK 299 KK
Miaka ya 280 KK | 280 KK 281 KK 282 KK 283 KK 284 KK 285 KK 286 KK 287 KK 288 KK 289 KK
Miaka ya 270 KK | 270 KK 271 KK 272 KK 273 KK 274 KK 275 KK 276 KK 277 KK 278 KK 279 KK
Miaka ya 260 KK | 260 KK 261 KK 262 KK 263 KK 264 KK 265 KK 266 KK 267 KK 268 KK 269 KK
Miaka ya 250 KK | 250 KK 251 KK 252 KK 253 KK 254 KK 255 KK 256 KK 257 KK 258 KK 259 KK
Miaka ya 240 KK | 240 KK 241 KK 242 KK 243 KK 244 KK 245 KK 246 KK 247 KK 248 KK 249 KK
Miaka ya 230 KK | 230 KK 231 KK 232 KK 233 KK 234 KK 235 KK 236 KK 237 KK 238 KK 239 KK
Miaka ya 220 KK | 220 KK 221 KK 222 KK 223 KK 224 KK 225 KK 226 KK 227 KK 228 KK 229 KK
Miaka ya 210 KK | 210 KK 211 KK 212 KK 213 KK 214 KK 215 KK 216 KK 217 KK 218 KK 219 KK
Miaka ya 200 KK | 200 KK 201 KK 202 KK 203 KK 204 KK 205 KK 206 KK 207 KK 208 KK 209 KK

Karne hii ni kipindi cha

Matukio

Watu

Viungo vya nje

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 3 KK kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Karne ya 1 KK

Karne ya 1 KK huhesabiwa kuanzia tarehe 1 Januari 100 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1 KK.

Karne ya 4 KK

Karne ya 4 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 399 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 300 KK.

Karne ya 5 KK

Karne ya 5 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 500 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 401 KK.

Kigiriki

Kigiriki (pia: Kiyunani) ni lugha ya Kihindi-Kiulaya inayotumiwa hasa nchini Ugiriki. Maandishi yake yamejulikana tangu miaka 3500 iliyopita. Hakuna lugha nyingine duniani inayozungumzwa hadi leo yenye historia ndefu kuliko hii, isipokuwa Kichina.

Kigiriki ni muhimu sana kwa utamaduni wa kisasa kwa sababu ya kutoa michango mingi kwa lugha ya sayansi, teknolojia na utamaduni. Fikra nyingi muhimu zilionekana mara ya kwanza kwa Kigiriki na falsafa iliyojadiliwa na kuandikwa kwa lugha hii. Istilahi nyingi za kisayansi zimetoka katika Kigiriki.

Alfabeti ya Kigiriki ilikuwa msingi wa alfabeti nyingine mbili, za Kilatini na Kikirili, pia kwa miandiko ya abijadi kama herufi za Kiarabu au za Kiebrania. Kiswahili huandikwa leo kwa herufi za Kilatini.

Kati ya maandiko muhimu ya Kigiriki ni yale ya wanafalsafa kama Plato na Aristoteles na pia baadhi ya maandiko ya Biblia ya Kikristo (Agano Jipya pamoja na Deuterokanoni), mbali ya tafsiri ya kwanza ya Biblia ya Kiebrania maarufu kwa jina la Septuaginta (karne ya 2 KK).

Kati ya karne ya 3 KK hadi karne ya 6 BK Kigiriki kilikuwa lugha ya kimataifa katika eneo kubwa la kandokando ya bahari ya Mediteranea pamoja na Mashariki ya Kati.

Lugha imeendelea kubadilika kisarufi, kimatamshi na pia kimsamiati. Hivyo Kigiriki cha kale kimekwisha, hakizungumzwi tena na watu, lakini bado kinafundishwa katika shule na vyuo vingi, hasa Ulaya.

Leo hii katika nchi ya Ugiriki kuna lugha ya Kigiriki Kipya kinachoendela kuandikwa kwa herufi zilezile.

Miaka ya 100 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 109 - 100 KK.

Miaka ya 110 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 119 - 110 KK.

Miaka ya 120 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 129 - 120 KK.

Miaka ya 150 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 159 - 150 KK.

Miaka ya 180 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 189 - 180 KK.

Miaka ya 210 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 219 - 210 KK.

Miaka ya 230 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 239 - 230 KK.

Miaka ya 240 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 249 - 240 KK.

Miaka ya 320 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 329 - 320 KK.

Miaka ya 330 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 339 - 330 KK.

Miaka ya 350 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 359 - 350 KK.

Miaka ya 380 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 389 - 380 KK.

Miaka ya 390 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 399 - 390 KK.

Milenia ya 1 KK

Milenia ya kwanza KK ilikuwa milenia ya mwisho kabla ya Kristo. Ilikuwa kipindi cha miaka elfu moja na ndani yake ni karne 10, kuanzia karne ya 10 KK hadi karne ya 1 KK. Ilifuatwa na karne ya 1 BK.

Ilianza kwenye 1 Januari 1000 KK ikaishia tarehe 31 Desemba 1 KK. Katika kalenda hii hakuna mwaka 0 KK wala mwaka 0.

Lugha zingine

This page is based on a Wikipedia article written by authors (here).
Text is available under the CC BY-SA 3.0 license; additional terms may apply.
Images, videos and audio are available under their respective licenses.