Karne ya 11 KK

Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka

| Milenia ya 3 KK | Milenia ya 2 KK | Milenia ya 1 KK |
| Karne ya 13 KK | Karne ya 12 KK | Karne ya 11 KK | Karne ya 10 KK | Karne ya 9 KK |

Karne ya 11 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1100 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1001 KK.

Matukio

Karne: | Karne ya 12 KK  | Karne ya 11 KK | Karne ya 10 KK
Miongo na miaka
Miaka ya 1090 KK | 1090 KK 1091 KK 1092 KK 1093 KK 1094 KK 1095 KK 1096 KK 1097 KK 1098 KK 1099 KK
Miaka ya 1080 KK | 1080 KK 1081 KK 1082 KK 1083 KK 1084 KK 1085 KK 1086 KK 1087 KK 1088 KK 1089 KK
Miaka ya 1070 KK | 1070 KK 1071 KK 1072 KK 1073 KK 1074 KK 1075 KK 1076 KK 1077 KK 1078 KK 1079 KK
Miaka ya 1060 KK | 1060 KK 1061 KK 1062 KK 1063 KK 1064 KK 1065 KK 1066 KK 1067 KK 1068 KK 1069 KK
Miaka ya 1050 KK | 1050 KK 1051 KK 1052 KK 1053 KK 1054 KK 1055 KK 1056 KK 1057 KK 1058 KK 1059 KK
Miaka ya 1040 KK | 1040 KK 1041 KK 1042 KK 1043 KK 1044 KK 1045 KK 1046 KK 1047 KK 1048 KK 1049 KK
Miaka ya 1030 KK | 1030 KK 1031 KK 1032 KK 1033 KK 1034 KK 1035 KK 1036 KK 1037 KK 1038 KK 1039 KK
Miaka ya 1020 KK | 1020 KK 1021 KK 1022 KK 1023 KK 1024 KK 1025 KK 1026 KK 1027 KK 1028 KK 1029 KK
Miaka ya 1010 KK | 1010 KK 1011 KK 1012 KK 1013 KK 1014 KK 1015 KK 1016 KK 1017 KK 1018 KK 1019 KK
Miaka ya 1000 KK | 1000 KK 1001 KK 1002 KK 1003 KK 1004 KK 1005 KK 1006 KK 1007 KK 1008 KK 1009 KK
Julius Kronberg David och Saul 1885
David na Sauli (1885) walivyochorwa na Julius Kronberg.

Watu muhimu

Viungo vya nje

Hourglass.svg Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 11 KK kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
1000 KK

Makala hii inahusu mwaka 1000 KK (kabla ya Kristo).

1010 KK

Makala hii inahusu mwaka 1010 KK (kabla ya Kristo).

1030 KK

Makala hii inahusu mwaka 1030 KK (kabla ya Kristo).

1040 KK

Makala hii inahusu mwaka 1040 KK (kabla ya Kristo).

1050 KK

Makala hii inahusu mwaka 1050 KK (kabla ya Kristo).

1059 KK

Makala hii inahusu mwaka 1059 KK (kabla ya Kristo).

Agano la Kale

Agano la Kale ni mkusanyo wa vitabu vya sehemu ya kwanza ya Biblia ya Kikristo inayotumiwa na waumini wa Ukristo duniani kote. Pengine mkusanyo huu unagawanywa katika makundi kadiri ya mada au mtindo: sheria, historia, ushairi na unabii, ambayo ni tofauti kiasi na kawaida ya Tanakh ya Uyahudi wa leo.

Vitabu vyote vya Agano la Kale viliandikwa kabla ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Kwa mujibu wa wanahistoria wa Biblia, vitabu vya Agano la Kale viliandikwa kati ya karne ya 11 KK na karne ya 1 KK.

Karne ya 10 KK

Karne ya 10 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1000 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 901 KK.

Karne ya 12 KK

Karne ya 12 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1200 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1101 KK.

Karne ya 13 KK

Karne ya 13 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1300 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1201 KK.

Karne ya 9 KK

Karne ya 9 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 900 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 801 KK.

Miaka ya 1030 KK

ֱ

Makala hii inahusu muongo ya miaka 1039 - 1030 KK.

Miaka ya 1040 KK

ֱ

Makala hii inahusu muongo ya miaka 1049 - 1040 KK.

Miaka ya 1100 KK

ֱ

Makala hii inahusu muongo wa miaka 1109 - 1100 KK.

Miaka ya 1170 KK

ֱ

Makala hii inahusu muongo wa miaka 1179 - 1170 KK.

Miaka ya 1200 KK

Makala hii inahusu mwaka 1200 KK (kabla ya Kristo).

Miaka ya 980 KK

Makala hii inahusu muongo ya miaka 989 - 980 KK.

Milenia ya 2 KK

Makala hii inahusu milenia ya 2 KK (miaka 2000 KK - 1001 KK).

Mkoa wa İzmir

İzmir ni jina la kutaja moja kati ya Mikoa ya Uturuki uliopo mjini magharibi mwa Anatolia kwenye pwani ya Bahari ya Aegean. Mji mkuu wa mkoani hapa ni Izmir. Mji huu ulianzishwa na Wagiriki Smyrna (Kigiriki: Σμύρνη) kunako karne ya 11 KK. Kwa upande magharibi umezungukwa na Bahari ya Aegean, na imefungamana kabisa na Ghuba ya İzmir. Mkoa umechukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 11,973. Takriban watu 3,769,000 wanaishi mjini hapa (makisio ya 2007). Idadi ya wakazi wa hapa ilikuwa 3,370,866 kunako mwaka wa 2000. Mikoa ya jirani na mkoa ni pamoja na Balıkesir katika upande wa kaskazini, Manisa kwa upande wa mashariki, na Aydın kwa upande wa kusini.

Lugha zingine

This page is based on a Wikipedia article written by authors (here).
Text is available under the CC BY-SA 3.0 license; additional terms may apply.
Images, videos and audio are available under their respective licenses.