Gaza

Gaza (Kiarabu: غزة; Kiebrania: עזה‎ azzah) ni mji mkubwa wa Ukanda wa Gaza ambao ni sehemu ya maeneo chini ya mamlaka ya Palestina mwenye wakazi 400,000. Ni makao ya ofisi nyingi za serikali ya Palestina.

Gz-map
Ramani ya Kanda la Gaza pamoja na mji wa Gaza
11 Januari

Tarehe 11 Januari ni siku ya kumi na moja ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 354 (355 katika miaka mirefu).

21 Oktoba

Tarehe 21 Oktoba ni siku ya 294 ya mwaka (ya 295 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 71.

26 Februari

Tarehe 26 Februari ni siku ya hamsini na saba ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 308 (309 katika miaka mirefu).

Ayman Mohyeldin

Ayman Mohyeldin (amezaliwa 1 Mei 1979) ni mwanahabari Mwarabu wa Marekani ambaye yuko mjini Arabuni anayefanyia kazi Al-Jazeera. anayeripotia kutoka Gaza. Hapo awali alikuwa akisimamia kutengeneza vipindi alipokuwa akifanya kazi CNN na NBC. Ayman alikuwa mmoja wa waandishi wa habari wa kwanza kutoka magharibi kuruhusiwa kuingia Iraq na Serikali ya awali ya Iraq ili kuripoti kuhusu kesi ya Rais wa Iraq Saddam Hussein iliyohusu uhalifu dhidi ya ubinadamu. Hivi karibuni, Ayman aliwahi kuripoti kuhusu vita kati ya Israel na Gaza mnamo Desemba 2008. Yeye alikuwa mwandishi wa kwanza kutoa taarifa kwenye mtandao kuhusu vichuguu ambavyo vilitumiwa kimagendo kupitisha silaha na watu mpakani Misri na Gaza. Mpaka wa leo, njia hii ni muhimu inayotumika kuingiza dawa, chakula na mafuta mjini Gaza

Bahari ya Mediteranea

Bahari ya Mediteranea (pia: Bahari ya Kati) ni bahari ya pembeni ya Atlantiki kati ya mabara ya Afrika, Ulaya na Asia ya Magharibi. Eneo lake ni takriban milioni 2,5 km². Kina chake kirefu ni 5,267 m. Ina kanda ya hali ya hewa ya pekee pamoja na mimea na wanyama.

Neno "Mediteranea" limetokana na lugha ya Kilatini likiunganisha maneno ya "medium" (inamaanisha "kati ya, katikati") na "terra" (inamaanisha "bara"). Kwa hiyo neno lenyewe linamaanisha "Bahari katikati ya bara".

Katika lugha ya Biblia Kiebrania iliitwa "Bahari ya Magharibi" au "Bahari Kuu"; Waroma wa Kale waliotwala nchi zote zinazopakana na Bahari ya Mediteranea waliita "mare nostrum" yaani "bahari yetu". Waarabu na Waturuki wanaiita "Bahari Nyeupe" (Kitur. Akdeniz au Kiarab. البحر الأبيض al-baHr-al-abyaD)

Bilene Macia

Bilene Macia ni mji wa mkoa wa Gaza nchini Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 23.156.

Hamas

Hamas (حماس Ḥamās, an acronym of حركة المقاومة الاسلامية Ḥarakat al-Muqāwamat al-Islāmiyyah, kwa urefu "Harakati za Upinzani za Kiislamu") ni chama cha kisiasa na kijamii cha Palestina. Hamas ina jeshi yake linalojulikana kama Izz ad-Din al-Qassam Brigades.Baada ya kushinda uchaguzi wa kibunge wa Palestina ulilofanywa Januari 2006, na kuwashinda chama pinzani la Fatah katika mfululizo wa mapambano makali ulioanza Juni 2007, Hamas imekuwa ikitawala sehemu ya Gaza.Uungano wa Uropa, Israel, Japan, Canada, Marekani limeainisha Hamas kama shirika la kigaidi.

Hamas ilianzishwa na Sheikh Ahmed Yassin, Abdel Aziz al-Rantisi na Mohammed Taha wa bawa la Misri la Undugu wa Kipalestina mwaka 1987 katika Intifada ya kwanza ya uasi dhidi ya utawala wa Israel katika nchi ya Palestina. Kupitia ufadhili wake na usimamizi wa shule, kliniki za afya ya huduma, misikiti, vikundi vya vijana, klabu za michezo, na vituo vya huduma ya siku, katikati ya miaka ya 1990 Hamas ilipata wafwasi wengi katika nchi ya Palestina. Inakadiriwa kuwa 80-90% ya mapato ya Hamas yanatumiwa katika kuendeleza afya, ustawi wa jamii, dini, utamaduni, na huduma za elimu. Katika pande za kijeshi Hamas ilihusika na washambuliaji wa kujiua dhidi ya Israel wa kwanza ukiwa 1993. Katika mwaka wa 2005 mashambuliaji ya kujiua yalisitishwa lakini yakaanza upya tena mwaka wa 2006. Katika miaka ya hivi karibuni Hamas ina hasa kushambulia Israel kwa roketi na moto chokaa.

Baada ya uchaguzi migogoro iliendelea kati ya Hamas na serikali ya Palestina, baada ya vita vya Gaza vya 2007 Hamas iliendelea kutawala Gaza na serikali ya Palestina iliwafukuza wabunge wa Hamas kutoka sehemu ya West Bank. Misri na Israeli zilifunga mipaka yake na Gaza na kuzuia kuingia na kutoka kwa watu na bidhaa. JUni 2008, Hamas ilisitisha mashambulizi yake ya roketi dhidi ya Israel baada ya makubaliano na Misri ya kusitisha mapigano.Licha ya makubaliano hayo mashirika mengine yaliendelea na mashambulizi dhidi ya Israeli. Miezi miwili kabla ya mwisho wa kusitisha mapigano ya miezi sita vita ilienea, baada ya wanajeshi wa Israeli kuwaua wapiganaji 7 wa Hamas katika mwezi wa 4 Novemba.Mauaji haya yalianzisha upya mashambulizi ya roketi toka kwa Hamas. Israeli ilishambulia Gaza mwisho wa mwezi wa Desemba 2008. mashambulizi ya Israeli yaliendelea mpaka Januari 2009. Baada ya mashmabulizi hayo Israeli walifunga mipaka ya Gaza.

Katika mkataba wa 1988, Hamas linataka kuondoa jimbo la Israeli na kutengeneza jumuiya ya kiislamu ya Kipalestina katika sehemu ambalo sasa ni Israeli, Gaza na West Bank. Hata hivyo katika Julai 2009, Khalid Meshaal ambaye ni mmoja wa viongozi wa Hamas kule Damascus alisema nia ya Hamas ni kushirikiana na Israeli katika "ufumbuzi wa mgogoro wa Waarabu na Israel ambayo ni pamoja na kurudi kwa hali ya Palestina kwa kuzingatia mipaka ya 1967," na pia wakimbizi Wapalestina kupewa haki ya kurudi kwao Israeli na Yerusalemu ya Mashariki kutambuliwa kama mji mkuu wa jimbo jipya la Kipalestina. Mara kwa mara Hamas imesisitiza kuwa mgogoro wake na Israeli ni wa kisiasa na wala si wa kidini lakini baadhi ya waandishi wa habari na makundi ya utetezi wanaamini kwamba mikataba na taarifa kutoka kwa viongozi wa Hamas waliovutiwa na njama nadharia dhidi ya wayahudi.

Hilarioni wa Gaza

Hilarioni (291–371) alikuwa mkaapweke aliyetumia sehemu kubwa ya maisha yake jangwani kufuatana na mfano wa Antoni Mkuu.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Oktoba.

IHH

İHH İnsan Yardım Vakfı (jina kamili Kituruki: İnsan Hak ve Hürriyetleri ve İnsani Yardım Vakfı, kwa Kiswahili: Shirika la Haki za Binadamu, Uhuru na Msaada) ama IHH kwa kifupi ni shirika la kituruki la kibinafsi linalotoa msaada katika nchi zaidi ya 100.

Shirika hili lilianzishwa katika mwaka wa 1992 na kusajiliwa rasmi Istanbul mwaka wa 1995.IHH inatoa msaada katika sehemu zilizokumbwa na vita, njaa na mtetemeko wa ardhi ama majanga mengine ya asili.

IHH ilikuja katika tahadhari la kimataifa baada ya meli zake za kimsaada zilizokuwa zinapeleka msaada Gaza kushambuliwa na makomando toka Israeli.Wafanya kazi tisa wa IHH katika meli

MV Mavi Marmara waliaga dunia na wengine wengi kujeruhiwa.

Hakimu Jean-Louis Bruguière wa shirikisho la kifaransa la kupambana na magaidi, mshauri wa kimataifa katika mambo ya kigaidi Evan Kohlmann, pamoja na serikali ya Israeli ina madai kuwa IHH ina uhusiano na Hamas na makundi mengine ambayo serikali kadhaa zimehusisha na ugaidi. IHH imepinga madai hayo.

Mkoa wa Gaza

Kwa mji katika nchi ya Palestina tazama makala "Gaza"

Gaza au Gazankulu, ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Msumbiji. Mji mkuu wake ni Xai Xai.

Orodha ya miji ya Msumbiji

Hii ni orodha ya miji ya nchi ya Msumbiji yenye angalau idadi ya wakazi 20,000 (2005).

Palestina

Palestina (kwa Kiarabu: فلسطين‎ filasṭīn, falasṭīn; kutoka Kilatini: Palaestina; kwa Kiebrania: פלשתינה Palestina) ni jina la eneo lililoko upande wa Mashariki wa Bahari ya Mediteranea kati ya mkingo wa bahari hiyo na mto Yordani.

Patrologia Graeca

Patrologia Graeca (kwa kirefu: Patrologiae Cursus Completus, Series Graeca) ni mkusanyo wa maandishi ya Kigiriki, hasa ya Mababu wa Kanisa uliotolewa na J. P. Migne. Unafuata kwa jumla tarehe, kuanzia maandishi ya kwanza ya Ukristo hadi mwaka 1453.

Una magombo 166:

Kabla ya Mtaguso wa kwanza wa Nisea

PG 1: Klementi wa Roma,

PG 2: Klementi wa Roma, Barua ya Barnaba, Mchungaji wa Hermas, Barua kwa Diogneto, Wasia wa Mababu 12

PG 3-4: Pseudo-Dionysius the Areopagite (karne ya 5 - karne ya 6), Maksimo Muungamadini (karne ya 7) ufafanuzi wa Pseudo-Dionysius, George Pachymeres (karne ya 14) ufafanuzi wa Pseudo-Dionysius

PG 5: Ignas wa Antiokia, Polikarpo, Melito wa Sardi, Papias wa Hierapoli, Apolonio wa Efeso n.k.

PG 6: Yustino mfiadini, Tasyano, Athenagoras wa Athens, Theofilo wa Antiokia, Hermias mwanafalsafa

PG 7: Irenei

PG 8-9: Klemens wa Aleksandria

PG 10: Gregori Mtendamiujiza, Papa Zephyrinus, Sextus Julius Africanus, Papa Urban I, Hipoliti wa Roma, Theognostus wa Aleksandria, n.k.

PG 11-17: Origen

PG 18: Methodi wa Olympus, Aleksanda wa Likopoli, Petro wa Aleksandria, Theodori wa Mopsuestia, n.k.

Karne ya 4

PG 19-24: Eusebius wa Kaisarea

PG 25-28: Atanasi wa Aleksandria

PG 29-32: Basili Mkuu

PG 33: Sirili wa Yerusalemu, Apolinari wa Laodikea, Diodoro wa Tarso, Petro II wa Aleksandria, Timoti wa Aleksandria, Isaac Myahudi aliyeongoka

PG 34: Makari wa Misri na Makari wa Aleksandria

PG 35-37: Gregori wa Nazienzi, Basili Mdogo wa Kaisarea (karne ya 10)

PG 38: Gregori wa Nazienzi, Caesarius

PG 39: Didimo Kipofu, Amfiloki wa Ikonio, Nektario wa Konstantinopoli

PG 40: Mababu wa Misri: Antoni Abati, Pakomi, Serapioni wa Thmuis, Isaya Abati, Orsisius, Theodori Abati. Wengine: Asteri wa Amaseia, Nemesius, Hieronymus Theologus Græcus, Serapioni wa Antiokia, Filo wa Karpasia, Evagri wa Ponto

PG 41-42: Epifani wa Salamis

PG 43: Epifani, Nonnus wa Panopolis

PG 44-46: Gregori wa Nisa

Karne ya 5

PG 47-64: John Chrysostom

PG 65: Severian of Gabala, Theophilus of Alexandria, Palladius Bishop of Helenopolis, Philostorgius, Archbishop Atticus of Constantinople, Proclus of Constantinople, Archbishop Flavian of Constantinople, Marcus Eremita, Marcus Diadochus, Marcus Diaconus

PG 66: Theodore of Mopsuestia, Synesius, Arsenius the Great

PG 67: Socrates Scholasticus and Sozomenus

PG 68-76: Cyril of Alexandria

PG 77: Cyril of Alexandria, Theodotus of Ancyra, Paul Bishop of Emesa, Acacius of Beroea, John of Antioch, Memnon Bishop of Ephesus, Acacius Bishop of Melitene, Rabbulas Bishop of Edessa, Firmus bishop of Caesarea, Amphilochius of Sida

PG 78: Isidore of Pelusium

PG 79: Nilus of Sinai

PG 80-84: Theodoretus of Cyrus

PG 85: Basil of Seleucia, Euthalius Deacon of Alexandria, John of Karpathos, Aeneas of Gaza, Zacharias Rhetor Bishop of Mytilene, Gelasius of Cyzicus, Theotimus, Ammonius, Andreas Bishop of Samosata, Gennadius of Constantinople, Candidus Isaurus, Antipater of Bostra, Dalmatius Bishop of Cyzicus, Timothy Bishop of Berytus, Eustathius Bishop of Berytus.

Karne ya 6

PG 86a: Presbyter Timothy of Constantinople, Joannes Maxentius, Theodorus Lector, Procopius Deacon of Tyre, Theodorus Bishop of Scythopolis, Presbyter Timothy of Jerusalem, Theodosius I of Alexandria, Eusebius of Alexandria, Eusebius of Emesa, Gregentius of Taphar, Patriarch Epiphanius of Constantinople, Isaac of Nineveh, Barsanuphius of Palestine, Eustathius monk, Emperor Justinian, Agapetus the Deacon, Leontius Byzantinus

PG 86b: Leontius Byzantinus (continuation), Patriarch Ephraim of Antioch, Paulus Silentiarius, Patriarch Eutychius of Constantinople, Evagrius Scholasticus, Eulogius of Alexandria, Simeon Stylites the Younger, Patriarch Zacharias of Jerusalem, Patriarch Modestus of Jerusalem, Anonymous on the siege of Jerusalem by the Persians, Jobius, Erechthius Bishop of Antioch in Pisidia, Peter Bishop of Laodicea.

Karne ya 7

PG 87a-87b: Procopius of Gaza

PG 87c: Procopius of Gaza, Joannes Moschus, Sophronius, Alexander monk

PG 88: Cosmas Indicopleustes, Constantine the Deacon, Joannes Climacus, Agathias Myrinæ, Gregory Bishop of Antioch, Joannes Jejunator (Patriarch John IV of Constantinople), Dorotheus the Archimandrite

PG 89: Anastasius Sinaita, Anastasius of Antioch, Anastasius Abbot of Euthymius, Anastasius IV Patriarch of Antioch, Antiochus of Sabe

PG 90: Maximus the Abbot

PG 91: Maximus the Confessor, Thalassius the Abbot, Theodore of Raithu

PG 92: Paschal Chronicle, George Pisides

PG 93: Olympiodorus Deacon of Alexandria, Hesychius, Leontius Bishop of Neapolis in Cyprus, Leontius of Damascus

Karne ya 8

PG 94-95: John of Damascus

PG 96: John of Damascus, John of Nicæa, Patriarch John VI of Constantinople, Joannes of Eubœa

PG 97: John Malalas (6th century), Andrew of Crete, Elias of Crete and Theodore Abucara

PG 98: Patriarch Germanus I of Constantinople, Cosmas of Jerusalem, St. Gregory II Bishop of Agrigentum, Anonymus Becuccianus, Pantaleon Deacon of Constantinople, Adrian monk, Epiphanius Deacon of Catania, Pachomius monk, Philotheus monk, Patriarch Tarasios of Constantinople

PG 99: Theodore of Studion

Karne ya 9

PG 100: Patriarch Nikephoros I of Constantinople, Stephen Deacon of Constantinople, Gregory of Decapolis, Patriarch Christopher I of Alexandria, Patriarch Methodios I of Constantinople

PG 101-103: Photius of Constantinople

PG 104: Photius of Constantinople, Petrus Siculus, Peter bishop of Argos (Saint Peter the Wonderworker), Bartholomew of Edessa

PG 105: Nicetas ('David') of Paphlagonia, Nicetas Byzantius, Theognostus monk, Anonymous, Joseph the Hymnographer

Karne ya 10

PG 106: Joseppus, Nicephorus the Philosopher, Andreas of Caesarea (Cappadocia), Arethas of Caesarea in Cappadocia, Joannes Geometres, Cosmas Vestitor, Leo the Patrician, Athanasius Bishop of Corinth, anonymous small Greek works

PG 107: Emperor Leo VI the Wise

PG 108: Theophanes Abbot and Confessor, Unknown Author, Leo Grammaticus, Anastasius the Historian and Church Librarian

PG 109: Scriptores post Theophanem (Theophanes Continuatus) (edition of Combefisius)

PG 110: Georgius Monachus

PG 111: Nicholas Patriarch of Constantinople, Basil Bishop of Neai Patrai, Basil (the Minor) Bishop of Caesarea, Gregory Presbyter of Caesarea, Joseph Genesius, Moses son of Cepha in Syria, Theodorus Daphnopata, Nicephorus Presbyter of Constantinople, Patriarch Eutychius of Alexandria, Georgius Monachus

PG 112: Constantine Porphyrogenitus

PG 113: Constantine Porphyrogenitus (De Thematibus Orientis et Occidentis Libri Duo , Liber de Adminstrando Imperio , Delectus Legum Compendiarius Leonis et Constantini , Constantini Porphyrogeniti Novelle Constitutiones , Excerpta de Legationibus), Nicon monk in Crete, Theodosius the Deacon

PG 114-116: Symeon Metaphrastes

PG 117: Emperor Basil II, Emperor Nikephoros II, Leon Diaconus, Hyppolitus of Thebes, Joannes Georgides monk, Ignatius the Deacon, Nilus the Eparch, Christophorous Protoasecretis, Michael Hamartolus, Anonymus, Suidas

PG 118: Oecumenius Bishop of Trikka

PG 119: Oecumenius Bishop of Trikka, various writers (patriarchs, bishops, other) on Jus Canonicum Græco-Romanum

Karne ya 11

PG 120: Anonymous on the Life of Nilus the Younger, Theodorus Bishop of Iconium, Leo Presbyter, Leo Grammaticus, Joannes Presbyter, Epiphanius of Jerusalem monk, Patriarch Alexius of Constantinople, Demetrius Syncellus Bishop of Cyzicus, Nicetas Chartophylax of Nicaea, Patriarch Michael Cerularius of Constantinople, Samonas Bishop of Gaza, Leo of Ohrid Archbishop of Bulgaria, Nicetas Pectoratus (Stethatos) presbyter and monk of Monastery of Stoudios, Joannes Bishop of Euchaita, Patriarch Joannes Xiphilinus of Constantinople, Joannes Deacon of Constantinople, Symeon the Younger

PG 121-122: Georgius Cedrenus

PG 123-126: Theophylactus Bulgarias

Karne ya 12

(vol. 127 really spans 11th to 12th c.)

PG 127: Nicephorus Bryennius, Constantinus Manasses, Patriarch Nicholas III of Constantinople, Luce VII Abbot of Grottaferrata, Nicon monk in Raithu, Anastasius Archbishop of Caesarea, Nicetas Serronius, Jacobus monk in Coccinobaphi, Philippus Solitarius, Job monk, Petrus Chrysolanus Mediolanensis Archiepiscopus, Irene Augusta, Emperor Nicephoros III Botaneiates, Nicetas of Side

PG 128-130: Euthymius Zigabenus

PG 131: Euthymius Zigabenus, Anna Comnena Porphyrogenita Cæsarissa

PG 132: Theophanes Kerameus, Nilus Doxapatris, John Bishop of Antioch, Emperor John II Komnenos, Isaac Catholicus of Magnæ Armeniæ

PG 133: Arsenius monk in Philotheou monastery, Alexius Aristenus, Patriarch Lucas Chrysoberges of Constantinople, Theorianus Philosophus, Joannes Cinnamus, Manuel Comnenus, Emperor Alexius I Comnenus, Emperor Andronicus Comnenus, Theodorus Prodromus

PG 134: Joannes Zonaras

PG 135: Joannes Zonaras, Patriarch Georgius Xiphilinus of Constantinople, Emperor Isaac II Angelos, Neophytus Presbyter, Joannes Chilas Metropolite of Ephesus, Nicolaus Metropolite of Methone, Eustathius of Thessalonica

PG 136: Eustathius of Thessalonica, Antonius Melissa

Karne ya 13

PG 137-138: Theodorus Balsamon

PG 139: Isidorus Metropolite of Thessalonica, Nicetas of Maroneia Metropolite of Thessalonica, Joannes Bishop of Citrus (Pydna), Patriarch Marcus of Alexandria, Joel the Chonographer, Nicetas Choniates

PG 140: Nicetas Choniates, Anonymus Greek, Michael Acominatus Archbishop of Athens, Theodorus Bishop of Alania, Theodorus bishop of (S)Andide, Manuel Magnus Rhetor of Constantinople, Pantaleo Deacon of Constantinople, Manuel Charitopulus, Patriarch Germanus II of Constantinople, Michael Chumnus Metropolite of Thessalonica, Emperor Theodore I Laskaris, Methodius monk, Patriarch Nicephorus II of Constantinople, Constantine Acropolita, Arsenius Autorianus (Patriarch Arsenius I of Constantinople), Georgius Acropolita, Nicephorus Chumnus, Alexander IV, Sixtus IV

PG 141: Joannes Veccus, Constantine Meliteniotes, Georgius Metochita

PG 142: Georgius Cyprus, Athanasius Patriarch of Constantinople, Nicephorus Blemmida

Karne ya 14

PG 143: Ephraemius Chronographus, Theoleptus Metropolite of Philadelphia, George Pachymeres

PG 144: George Pachymeres, Theodore Metochites, Matthew Blastares

PG 145: Matthew Blastares, Theodulus monk alias Thomas Magister, Nicephorus Callistus Xanthopoulos

PG 146: Nicephorus Callistus Xanthopoulos

PG 147: Nicephorus Callistus Xanthopoulos, Callistus and Ignatius Xanthopuli monks, Patriarch Callistus of Constantinople, Callistus Telicoudes, Callistus Cataphugiota, Nicephorus monk, Maximus Planudes

PG 148: Nicephorus Gregoras

PG 149: Nicephorus Gregoras, Nilus Cabasilas Metropolite of Thessalonica, Theodorus of Melitene Magnæ Ecclesiæ Sakellarios, Georgius Lapitha the Cypriot

PG 150: Constantine Harmenopulus, Macarius Chrysocephalus Metropolite of Philadelphia, Joannes Caleca, Theophanes Archbishop of Nicæa, Nicolaus Cabasilas, Gregorius Palamas

PG 151: Gregorius Palamas, Gregorius Acindynus, Barlaam of Seminara (Calabria)

PG 152: Manuel Calecas, Joannes Cyparissiotes, Emperor Matthew Kantakouzenos, Synodical and Patriarchical canons and legislations of various Patriarchs of Constantinople (Joannes Glycys (or Glycas), Isaias, Joannes Caleca, Isidorus, Callistus, Philotheus)

PG 153: John Cantacuzenus

PG 154: John Cantacuzenus, Philotheus Archbishop of Selymbria, Demetrius Cydones, Maximus Chrysoberges monk

Karne ya 15

PG 155: Symeon Archbishop of Thessalonica

PG 156: Manuel Chrysoloras, Joannes Cananus, Manuel II Palaeologus, Joannes Anagnosta, George Sphrantzes

PG 157: Georgius Codinus Curopalates, Ducas the historian

PG 158: Michael Glycas, Joannes Deacon of Adrianople, Isaias of Cyprus, Hilarion monk, John Argyropoulos, Patriarch Joseph II of Constantinople, Job monk, Bartholomæus de Jano Ord. Minorum, Nicolaus Barbarus Patricius Venetus, Anonymus on the life of Mehmed II

PG 159: Laonicus Chalcondyles of Athens, Leonardus Chiensis Archbishop of Mitylene, Isidore of Thessalonica, Josephus Bishop of Methone

PG 160: Patriarch Gregory III Mammas of Constantinople, Patriarch Gennadios II of Constantinople, Georgius Gemistus Plethon, Matthæus Camariota, Marcus Eugenicus Metropolite of Ephesus, pope Nicholas V

PG 161: Bessarion, George of Trebizond, Constantinus Lascaris, Theodorus Gaza, Andronicus Callistus

Porfiri wa Gaza

Porfiri wa Gaza (kwa Kigiriki Πορφύριος, Porphyrios; Thesalonike, Ugiriki347 hivi – Gaza, Palestina, 26 Februari 420) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 395 hadi kifo chake.

Kutokana na masimulizi ya Maisha yake, yaliyoandikwa na Marko shemasi alipata umaarufu kwa kuingiza katika Ukristo mji huo ulioshikilia Upagani na kwa kubomoa mahekalu yaliyokuweko.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake.

Sherine Tadros

Sherine Tadros ni mwandishi habari Mwarabu-Muingereza anayeripotia kutoka bara la Mashariki ya Kati. Yeye ni mwanahabari wa Al Jazeera ya Kiingereza, moja ya stesheni inayoongoza duniani iliyo na makao makuu jijini Doha, Qatar.

Wakati wa vita vya Israeli na Gaza mwaka wa 2008-2009, Sherine na mwandishi mwenziwe wa Al Jazeera, Ayman Mohyeldin, walikuwa waandishi pekee wa kutoka stesheni yenye kutumia lugha ya Kiingereza kote duniani wliokuwa wakiripotia kutoka ndani ya Gaza. Vyombo vya kigeni vya habari vimekuwa vikizuiliwa kuingia Gaza kwa kupitia Misri au Israeli. Hata hivyo, Ayman na Sherine tayari walikuwa ndani ya Gaza wakati vita vilianza.

Ukanda wa Gaza

Ukanda wa Gaza ni eneo dogo kwenye mwabao wa Mediteranea ya Mashariki lililopo sehemu ya mamlaka ya Palestina. Lina urefu wa kilomita 40 na upana kati ya 6 km na 14 km. Eneo lote halizidi 360 km². Gaza imepakana na bahari halafu nchi za Israel na Misri. Israel inatenganisha Gaza na maeneo upande wa magharibi ya Yordan yaliyo pia sehemu ya mamlaka ya Palestina.

Ni kati ya maeneo yenye msongamano mkubwa wa watu likiwa na wakazi milioni 1.4 yaani zaidi ya watu 4,100 kwa km².

Mji mkubwa ni Gaza.

Kanda hili ni kati ya mabaki ya Palestina ya Kiingereza yasiyotwaliwa na Israel wakati wa vita ya Kiarabu-Kisraeli ya 1948 na kuwa kimbilio kwa wakimbizi wengi Wapalestina waliowahi kukaa katika sehemu zilizokuwa Israel. Kati ya 1948 hadi 1967 lilitawaliwa na Misri. Tangu vita ya siku sita ya 1967 kanda lilikuwa chini ya Israel. Tangu 1994 ilikabidhiwa kwa mamlaka ya Palestina lakini Israel iliendelea kuwa na vijiji vya Waisraeli na vituo vya kijeshi ndani yake. Mapigano ya intifada yaliongezeka kuwa makali na kusababisha vifo vingi. Tangu 2005 Israel iliondoa wakazi na wanajeshi wake wote.

Baada ya uchaguzi wa 2006 chama cha Hamas chini ya Ismael Haniya kilipata kura nyingi na kushika serikali ya Palestina. Farakano kati ya Hamas na Fatah wa rais Mahmud Abas liliongezeka hadi Hamas kuchukua mamlaka yote katika Gaza kwa nguvu ya silaha mwezi wa Juni 2007. Tangu mwezi ule Gaza iko chini ya serikali ya Hamas lakini maeneo mengine yako chini ya mamlaka ya rais Abas.

Hali ya wakazi ni vigumu. Israel imefunga mipaka na kuzuia wakazi wa Gaza wasitoke nje kwa sababu wanamigambo Wapalestina wanaendelea kurusha roketi ndogo kutoka Gaza kwenda Israel. Kutokana na kufungwa kwa mipaka yote uchumi ni duni hakuna ajira. Hata huduma za kimsingi kama vile maji na umeme zinavurugika kabisa.

Xai-Xai

Xai-Xai ni mji mkuu wa mkoa wa Gaza nchini Msumbiji. Idadi ya wakazi wake ni takriban 127.366.

Lugha zingine

This page is based on a Wikipedia article written by authors (here).
Text is available under the CC BY-SA 3.0 license; additional terms may apply.
Images, videos and audio are available under their respective licenses.