1771

Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka

| Karne ya 17 | Karne ya 18 | Karne ya 19 |
| Miaka ya 1740 | Miaka ya 1750 | Miaka ya 1760 | Miaka ya 1770 | Miaka ya 1780 | Miaka ya 1790 | Miaka ya 1800 |
◄◄ | | 1767 | 1768 | 1769 | 1770 | 1771 | 1772 | 1773 | 1774 | 1775 | | ►►


Makala hii inahusu mwaka 1771 BK (Baada ya Kristo).

Waliozaliwa

Waliofariki

1767

Makala hii inahusu mwaka 1767 BK (Baada ya Kristo).

1768

Makala hii inahusu mwaka 1768 BK (Baada ya Kristo).

1769

Makala hii inahusu mwaka 1769 BK (Baada ya Kristo).

1770

Makala hii inahusu mwaka 1770 BK (Baada ya Kristo).

1771 KK

Makala hii inahusu mwaka 1771 KK (kabla ya Kristo).

1772

Makala hii inahusu mwaka 1772 BK (Baada ya Kristo).

1773

Makala hii inahusu mwaka 1773 BK (Baada ya Kristo).

1774

Makala hii inahusu mwaka 1774 BK (Baada ya Kristo).

1775

Makala hii inahusu mwaka 1775 BK (Baada ya Kristo).

1779

Makala hii inahusu mwaka 1779 BK (Baada ya Kristo).

23 Septemba

Tarehe 23 Septemba ni siku ya 266 ya mwaka (ya 267 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 99. Kwa kawaida ama ni sikusare otomnia ya kaskazini au siku ya kwanza baada ya sikusare hiyo. Katika nusutufe ya kaskazini ya dunia mchana huanza kuwa mfupi na muda wa usiku kuwa mrefu zaidi kuliko mchana. Kwenye nusutufe ya kusini mwendo ni kinyume: kuanzia sasa mchana hurefuka na giza la usiku kupungua. Mabadiliko hayo yanaonekana kote duniani kwenye umbali fulani kutoka ikweta.

Encyclopedia Britannica

Encyclopædia Britannica ni kamusi elezo kubwa na moja kati ya kamusi elezo iliyo-maarufu zaidi. Inaandikwa kwa lugha ya Kiingereza. Kamusi elezo hii huchapishwa na kampuni binafsi ya Encyclopaedia Britannica, Inc. Awali ilikuwa ikichapishwa kwenye karatasi tu, lakini hivi karibuni imepanuka na kuwa na dijiti, au matoleo ya kompyuta vilevile. Kamusi elezo hii imegawanyika katika vitabu vingi sana. Makala za kwenye vitabu zimepangwa kwa mtindo wa kialfabeti. Kumekuwa na matoleo yake ambayo ni kwa ajili ya watoto vilevile. Hii ni kamusi elezo kubwa sana ya kuchapishwa. Kamusi elezo iliyo-kubwa ziadi ni Wikipedia. Watu wengi huhesabia kwamba ni kamusi elezo bora, kwa sababu ipo sahihi na ina mambo mengi.

Kamusi elezo hii awali ilikuwa ndogo sana, toleo la kwanza lilikuwa na vitabu vitatu na ilitolewa mnamo mwaka wa 1768. Polepole likawa kubwa zaidi. Toleo jipya, toleo la 15, sasa lina vitabu takriban 29, jumlisha vitabu viwili ambavyo ni faharasa. Pia imemjulisha kitabu cha ziada kiitwacho Propaedia, kwa ajili ya kuainisha ufahamu. Vitabu 29 vimeumba Macropaedia na Micropaedia. Macropædia ni kikubwa kuliko vingine, chenye makala yenye maelezo zaidi ambazo pia zaweza kuwa na kurasa 300, -metengenezwa kwa vitabu 17, wakati Micropædia ni kidogo ambacho kawaida huwa na makala fupi na maneno machache chini ya 750. Micropædia hutumika kwa ajili ya kutazama kwa haraka zaidi, lakini iwapo utahitaji habari zaidi basi inakubidi utumie Macropædia. Kila kitabu kimoja ni kikubwa sana, zaidi ya kurasa 1,000 kwa kitabu. Kuna vitabu vya mwaka. Kila mwaka, kitabu kimechapishwa kuhusu matukio ya mwaka huo.

Makala za kwenye Britannica ni kwa ajili ya watu wazima walio-elimika, si kwa ajili ya watoto, na imeandikwa na wahariri takriban 100 na wachangiaji wataalamu zaidi ya 4,000. Watu wengi hudhania ni kamusi elezo bora, lakini Wikipedia bado inabaki kuwa maarufu kwa kuwa matumizi yake ni bure. Britannica ni kamusi elezo ya kale kwa lugha ya Kiingereza mpaka sasa. Ilianza kuchapishwa kwa mara ya kwanza kunako mwaka kati ya 1768 na 1771 huko mjini Edinburgh, Uskoti na kukua kwa umaarufu mkubwa, ikiwa na toleo lake la tatu mnamo 1801 ikiwa imeongeza vitabu 21.

Ukubwa wa vitabu vya Britannica karibia vyote vinafanana kwa takriban miaka 70, ikiwa na maneno yapatayo milioni 40 ikiwa ni nusu ya mada zilizopo ndani ya vitabu vyenyewe. Kamusi elezo hii awali ilikuwa ikimilikiwa na Uingereza. Kwa sasa inamilikiwa na Marekani, lakini bado inaandikwa kwa Kiingereza cha Uingereza. Muda wa ziada, kamusi elezo hii imekuwa na kipindi kigumu cha upatikanaji wa fedha, kitu ambacho kamusi elezo nyingi huzikumba.

James Madison

James Madison (16 Machi 1751 – 28 Juni 1836) alikuwa Rais wa nne wa Marekani kuanzia mwaka wa 1809 hadi 1817.

Karne ya 18 KK

Karne ya 18 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1800 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1701 KK.

Kokaku

Kokaku (23 Septemba 1771 – 11 Desemba 1840) alikuwa mfalme mkuu wa 119 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Morohito. Mwaka wa 1780 alimfuata mfalme mkuu Go-Momozono, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 7 Mei 1817. Aliyemfuata ni mwana wake, Ninko.

Miaka ya 1770

Makala hii inahusu miaka 1770 - 1779.

Miaka ya 1770 KK

ֱ

Makala hii inahusu muongo wa miaka 1779 - 1770 KK.

Orodha ya Wafalme Wakuu wa Japani

Orodha ya Wafalme Wakuu (Tenno) wa Japani inataja wafalme wanaohesabiwa rasmi. Kwa wafalme 28 wa kwanza hatuna miaka ya uhakika, kwa hiyo hawajaorodheshwa humo.

29 Kinmei, (539-571)

30 Bidatsu, (572-585)

31 Yomei, (585-587)

32 Sushun, (587-592)

33 Suiko (wa kike), (593-628)

34 Jomei, (629-641)

35 Kogyoku (wa kike), (642-645)

36 Kotoku, (645-654)

37 Saimei (wa kike), (655-661)

38 Tenji, (661-672)

39 Kobun, (672)

40 Tenmu, (672-686)

41 Jito (wa kike), (686-697)

42 Monmu, (697-707)

43 Genmei (wa kike), (707-715)

44 Gensho (wa kike), (715-724)

45 Shomu, (724-749)

46 Koken (wa kike), (749-758)

47 Junnin, (758-764)

48 Shotoku (wa kike), (764-770)

49 Konin, (770-781)

50 Kanmu, (781-806)

51 Heizei, (806-809)

52 Saga, (809-823)

53 Junna, (823-833)

54 Ninmyo, (833-850)

55 Montoku, (850-858)

56 Seiwa, (858-876)

57 Yozei, (876-884)

58 Koko, (884-887)

59 Uda, (887-897)

60 Daigo, (897-930)

61 Suzaku, (930-946)

62 Murakami, (946-967)

63 Reizei, (967-969)

64 En'yu, (969-984)

65 Kazan, (984-986)

66 Ichijo, (986-1011)

67 Sanjo, (1011-1016)

68 Go-Ichijo, (1016-1036)

69 Go-Suzaku, (1036-1045)

70 Go-Reizei, (1045-1068)

71 Go-Sanjo, (1068-1073)

72 Shirakawa, (1073-1129)

73 Horikawa, (1087-1107)

74 Toba, (1107-1156)

75 Sutoku, (1123-1142)

76 Konoe, (1142-1155)

77 Go-Shirakawa, (1155-1192)

78 Nijo, (1158-1165)

79 Rokujo, (1165-1168)

80 Takakura, (1168-1180)

81 Antoku, (1180-1185)

82 Go-Toba, (1183-1198)

83 Tsuchimikado, (1198-1210)

84 Juntoku, (1210-1221)

85 Chukyo, (1221)

86 Go-Horikawa, (1221-1232)

87 Shijo, (1232-1242)

88 Go-Saga, (1242-1246)

89 Go-Fukakusa, (1246-1260)

90 Kameyama, (1260-1274)

91 Go-Uda, (1274-1287)

92 Fushimi, (1287-1298)

93 Go-Fushimi, (1298-1301)

94 Go-Nijo, (1301-1308)

95 Hanazono, (1308-1318)

96 Go-Daigo, (1318-1339)

97 Go-Murakami, (1339-1368)

98 Chokei, (1368-1383)

99 Go-Kameyama, (1383-1392)

100 Go-Komatsu, (1382-1412)

101 Shoko, (1412-1428)

102 Go-Hanazono, (1428-1464)

103 Go-Tsuchimikado, (1464-1500)

104 Go-Kashiwabara, (1500-1526)

105 Go-Nara, (1526-1557)

106 Ogimachi, (1557-1586)

107 Go-Yozei, (1586-1611)

108 Go-Mizunoo, (1611-1629)

109 Meisho (wa kike), (1629-1643)

110 Go-Komyo, (1643-1654)

111 Go-Sai, (1655-1663)

112 Reigen, (1663-1687)

113 Higashiyama, (1687-1709)

114 Nakamikado, (1709-1735)

115 Sakuramachi, (1735-1747)

116 Momozono, (1747-1762)

117 Go-Sakuramachi (wa kike), (1762-1771)

118 Go-Momozono, (1771-1779)

119 Kokaku, (1780-1817)

120 Ninko, (1817-1846)

121 Komei, (1846-1867)

122 Mutsuhito (Meiji), (1867-1912)

123 Yoshihito (Taisho), (1912-1926)

124 Hirohito (Showa), (1926-1989)

125 Akihito (Heisei), (1990-2019)

126 Naruhito (Reiwa) (2019-)

Lugha zingine

This page is based on a Wikipedia article written by authors (here).
Text is available under the CC BY-SA 3.0 license; additional terms may apply.
Images, videos and audio are available under their respective licenses.