1492

Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka

| Karne ya 14 | Karne ya 15 | Karne ya 16 |
| Miaka ya 1460 | Miaka ya 1470 | Miaka ya 1480 | Miaka ya 1490 | Miaka ya 1500 | Miaka ya 1510 | Miaka ya 1520 |
◄◄ | | 1488 | 1489 | 1490 | 1491 | 1492 | 1493 | 1494 | 1495 | 1496 | | ►►


Makala hii inahusu mwaka 1492 BK (Baada ya Kristo).

Matukio

Waliofariki

1488

Makala hii inahusu mwaka 1488 BK (Baada ya Kristo).

1489

Makala hii inahusu mwaka 1489 BK (Baada ya Kristo).

1490

Makala hii inahusu mwaka 1490 BK (Baada ya Kristo).

1491

Makala hii inahusu mwaka 1491 BK (Baada ya Kristo).

1492 KK

Makala hii inahusu mwaka 1492 KK (kabla ya Kristo).

1493

Makala hii inahusu mwaka 1493 BK (Baada ya Kristo).

1494

Makala hii inahusu mwaka 1494 BK (Baada ya Kristo).

1495

Makala hii inahusu mwaka 1495 BK (Baada ya Kristo).

1496

Makala hii inahusu mwaka 1496 BK (Baada ya Kristo).

Karne ya 15

Karne ya 15 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1401 hadi 1500. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1401 na kuishia 31 Desemba 1500. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi maendeleo na mabadiiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.

Karne ya 15 KK

Karne ya 15 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1500 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1401 KK.

Kolombia

Kolombia (kwa Kihispania: República de Colombia) ni nchi kwenye pembe la kaskazini la Amerika ya Kusini.

Imepakana na Venezuela, Brazil, Ekuador, Peru na Panama. Ina pwani mbili, kwenye Pasifiki na Atlantiki.

Jina la nchi limeteuliwa kwa heshima ya Kristoforo Kolumbus (Kihisp.: Cristóbal Colón; kwa Kiitalia: Cristoforo Colombo) aliyegundua njia kati ya Hispania na Amerika mwaka 1492.

Kristoforo Kolumbus

Kristoforo Kolumbus (kwa Kiitalia: Cristoforo Colombo; kwa Kihispania: Cristóbal Colón; kwa Kilatini: Columbus; Genova, 1451; Valladolid, 20 Mei 1506) alikuwa mfanyabiashara na mpelelezi aliyegundua njia ya usafiri kati ya Hispania na Amerika.

Mara nyingi aliitwa Mzungu wa kwanza wa kufika Amerika, lakini baadaye imejulikana ya kwamba Waviking walitangulia kufika Amerika ya Kaskazini mnamo mwaka 1000. Ila jitihada zake zilianzisha njia ya mawasiliano ya kudumu kati ya Amerika na mabara mengine tofauti na safari zote zilizovuka bahari kabla yake.

Upande wa dini, alikuwa Mkristo wa Kanisa Katoliki, tena mwanachama wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.

Miaka ya 1490

Makala hii inahusu miaka 1490 - 1499.

Miaka ya 1490 KK

ֱ

Makala hii inahusu muongo ya miaka 1499 - 1490 KK.

Mwili

Mwili ni kile kinachofanya binadamu aonekane na kuishi katika ulimwengu, kwa kufanana na wanyama ambao pia wana mwili.

Tofauti kubwa iliyopo kati ya viumbehai hao, yaani mtu na mnyama, upande wa uwezo wa akili na utendaji pengine inaelezwa na dini, falsafa n.k. kwa kudai uwepo wa roho pia katika umbile la binadamu.

Mwili wa binadamu unaundwa na kiwiliwili pamoja na viungo kwa mfano kichwa, shingo, kifua, mikono mgongo na miguu. Mwili una mifupa 206 ingawa binadamu anapozaliwa huwa na mifupa 270 ambayo baadaye huungana .

Umbo lake linategemea urithi lakini pia maisha ya mtu yalivyo. Urefu unategemea mambo mbalimbali, kama vile jinsia, kwa maana kwa kawaida wanaume ni warefu kuliko wanawake.

Kabla ya kufikia utu uzima, mwili unaundwa na seli bilioni 100.000.

Baada ya kufa, mwili wa binadamu unaitwa maiti, wakati ule wa mnyama unaitwa mzoga.

Elimu ya mwili huitwa anatomia.

Papa Alexander VI

Papa Alexander VI (1 Januari 1431 – 18 Agosti 1503) alikuwa papa kuanzia tarehe 11 Agosti 1492 hadi kifo chake.

Alimfuata Papa Innocent VIII akafuatwa na Papa Pius III.

Papa Innocent VIII

Papa Innocent VIII (1432 – 25 Julai 1492) alikuwa papa kuanzia tarehe 29 Agosti 1484 hadi kifo chake.

Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giovanni Battista Cybo (au Cibo).

Alimfuata Papa Sixtus IV akafuatwa na Papa Aleksanda VI.

Waindio

Waindio au Wahindi wekundu ni watu wanaotokana moja kwa moja na waliokuwa wenyeji wa Amerika kabla ya bara hilo kufikiwa na Christopher Columbus kutoka Ulaya (1492).

Lugha zingine

This page is based on a Wikipedia article written by authors (here).
Text is available under the CC BY-SA 3.0 license; additional terms may apply.
Images, videos and audio are available under their respective licenses.