1491

Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka

| Karne ya 14 | Karne ya 15 | Karne ya 16 |
| Miaka ya 1460 | Miaka ya 1470 | Miaka ya 1480 | Miaka ya 1490 | Miaka ya 1500 | Miaka ya 1510 | Miaka ya 1520 |
◄◄ | | 1487 | 1488 | 1489 | 1490 | 1491 | 1492 | 1493 | 1494 | 1495 | | ►►


Makala hii inahusu mwaka 1491 BK (Baada ya Kristo).

Waliozaliwa

Waliofariki

1487

Makala hii inahusu mwaka 1487 BK (Baada ya Kristo).

1488

Makala hii inahusu mwaka 1488 BK (Baada ya Kristo).

1489

Makala hii inahusu mwaka 1489 BK (Baada ya Kristo).

1490

Makala hii inahusu mwaka 1490 BK (Baada ya Kristo).

1491 KK

Makala hii inahusu mwaka 1491 KK (kabla ya Kristo).

1492

Makala hii inahusu mwaka 1492 BK (Baada ya Kristo).

1492 KK

Makala hii inahusu mwaka 1492 KK (kabla ya Kristo).

1493

Makala hii inahusu mwaka 1493 BK (Baada ya Kristo).

1493 KK

Makala hii inahusu mwaka 1493 KK (kabla ya Kristo).

1494

Makala hii inahusu mwaka 1494 BK (Baada ya Kristo).

1494 KK

Makala hii inahusu mwaka 1494 KK (kabla ya Kristo).

1495

Makala hii inahusu mwaka 1495 BK (Baada ya Kristo).

31 Desemba

Tarehe 31 Desemba ni siku ya 365 ya mwaka (ya 365 katika miaka mirefu). Daima ni ya mwisho.

Ignas wa Loyola

Ignas wa Loyola (kwa Kieuskara Ignazio Loiolakoa, kwa Kihispania Ignacio de Loyola) alizaliwa mwaka 1491 huko Loyola, Guipúzcoa, Hispania akafariki tarehe 31 Julai 1556 mjini Roma (leo nchini Italia).

Alikuwa padri wa Kanisa Katoliki maarufu hasa kama mwanzilishi wa Shirika la Yesu na wa mtindo wa mazoezi ya kiroho.

Alitangazwa na Papa Paulo V kuwa mwenye heri tarehe 27 Julai 1609, halafu

Papa Gregori XV alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Machi 1622.

Kutokana na heshima yake jina lake ni jina la shule iliyopo kigogo Dar es salaam.

Jacques Cartier

Jacques Cartier (31 Desemba 1491 – 1 Septemba 1557) alikuwa baharia na mpelelezi kutoka nchini Ufaransa aliyefanya safari tatu kwenda Amerika ya Kaskazini. Safari za Cartier zilikuwa msingi wa koloni ya Ufaransa katika eneo la Kanada ya leo.

Cartier alikuwa mwenyeji wa mji wa Saint-Malo katika kaskazini-magharibi ya Ufaransa iliyokuwa bandari ya wavuvi wenye uzoefu wa kuwa na safari ndefu baharini. 1534 alifanya safari yake ya kwanza ya kwenda Amerika Kaskazini kwa amri ya mfalme François I aliyemwagiza "kupeleleza visiwa na nchi zinaposemekana kuwa na dhahabu na vitu vingine vyenye thamani". Wakati ule taarifa juu ya dhahabu na fedha za Amerika zilipatikana tayari kupitia Wahispania waliowahi kuvamia sehemu kubwa za Amerika ya Kati na Kusini.

Cartier alifika kwenye pwani za Newfoundland na Quebec za leo akakutana na makabila ya Maindio wenyeji akasimamisha msalaba kama angazo ya kwamba alidai eneo kwa ajili ya mfalme wa Ufaransa. Alirudi mara mbili.

Cartier alipeleleza kisiwa cha Newfoundland, kisiwa cha Prince Edward Island, mto Saint Lawrence na mahali pa Montreal ya baadaye alipokuta kijiji kikubwa sana ya Maindio.

Kwenye safari yake ya tatu alikwenda na walowezi wa kwanza Wafaransa waliojaribu kuanzisha makazi ya kwanza ya Wafaransa katika Kanada lakini hawakuelewana na wenyeji wakapaswa kurudi.

Baada ya Cartier Wafaransa waliendelea kutembelea pwani za Kanada hadi 1608 walipounda makazi ya kwanza ya kudumu yaliyokuwa baadaye mji wa Quebec.

Karne ya 15

Karne ya 15 ilikuwa kipindi cha miaka mia moja kati ya 1401 hadi 1500. Kikamilifu kilianza tar. 1 Januari 1401 na kuishia 31 Desemba 1500. Namba zake zinafuata hesabu ya miaka "baada ya Kristo".

Kama kila "karne" ni kipindi kinachohesabiwa kwa hiari ya kibinadamu kwa sababu ni mgawanyo wa kalenda tu - hali halisi maendeleo na mabadiiliko makubwa hayafuati migawanyo ya kalenda ya kibinadamu.

Kuna mambo mengi yaliyotokea wakati wa karne hii.

Karne ya 15 KK

Karne ya 15 KK (= kabla ya Kristo) ni kipindi cha miaka mia kuanzia tarehe 1 Januari 1500 KK na kuishia tarehe 31 Desemba 1401 KK.

Miaka ya 1490

Makala hii inahusu miaka 1490 - 1499.

Miaka ya 1490 KK

ֱ

Makala hii inahusu muongo ya miaka 1499 - 1490 KK.

Lugha zingine

This page is based on a Wikipedia article written by authors (here).
Text is available under the CC BY-SA 3.0 license; additional terms may apply.
Images, videos and audio are available under their respective licenses.